MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 22 December 2011

SALAMU ZA POLE NA RAMBIRAMBI

17:31 By Mindset


Moja ya maeneo yaliyoathirika na mafuriko huko Dar. Picha na Michuzi blog

Kwa niaba yangu, ya wadau wa NJE YA BONGO.COM nasema pole sana kwa wahanga wote waliofikwa na janga la mafuriko huko Dar es salaam, na maeneo mengine.

Pia natoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba wa wenzetu waliopoteza maisha katika mafuriko yanayozidi kuleta balaa maeneo mbalimbali ya Tanzania hususani jijini Dar es salaam.
Mungu azilaze mahali pema peponi, roho za marehemu wote, na awajalie wafiwa wote ustahimilivu wakati huu mgumu kwao.


AMEN.
JOHN GABRIEL-
MWANZILISHI- NJE YA BONGO.COM

0 comments: