MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Wednesday, 21 December 2011

RIPOTI KUTOKA ZIMBABWE (ZIM).......

13:07 By Mindset

Hiki ni kibao cha mpakani kati ya Sauzi na Zimbabwe.
Hii ni tangazo katika ofisi ya mabasi ya masafa marefu mjini Harare - ZIM
Mambo ya kampeni za kisiasa. Nililikuta tangazo hili mjini Harare, ZIM
Hili ni daraja linalounganisha Sauzi na Zimbabwe, maji yanaoonekana hapo ni ya mto wa pili kwa ukubwa Afrika, unaoitwa Limpopo. Kuna Mamba katika mto huo, balaa. (Hawaonekani pichani)


0 comments: