MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday, 23 December 2011

NJE YA BONGO.COM YAINGIA KATIKA ORODHA YA BLOG MAARUFU

10:47 By Mindset


Ndio, kwa mujibu wa libeneke la irozoo.com, blog yetu ya NJE YA BONGO.COM ni kati ya blog 20 maarufu katika search za google kwa neno bongo.
Jionee mwenyewe pichani, ambapo inaonyesha NJE YA BONGO.COM ikishika nafasi ya PILI

Kuona orodha kamili ya blog maarufu BOFYA HAPA

Tupo pamoja kuendelea kupashana yanayojiri nje ya Tanzania.



Shukrani sana kwenu nyote kwa kuifanikisha kuwa katika nafasi hii ya umaarufu.

0 comments: