MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday 14 November 2011

BASKELI NDEFU KULIKO ZOTE DUNIANI

15:52 By Mindset

Baiskeli yenye urefu wa Mita7.8 na urefu wa kwenda juu wa Mita 3.7, iliyotengenezwa na Didi Senft ndiyo inayosadikiwa kuwa ni baiskeli kubwa zaidi duniani.
Baiskeli hiyo inaendeshwa na watu wawili kama unavyojionea pichani.

2 comments:

furaha said...

ha ha haha daaaahh hiyo baskel inakuwaje mtu akipanda hapo au anawekwa na winchi?

Anonymous said...

Haha iniebeidh