MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday 14 October 2011

HUYU NDIYE MTANZANIA ANAYECHEZEA CHELSEA

11:11 By Mindset


Jina lake ni Adam Nditi, kwa mujibu wa website ya Chelsea, dogo huyu alizaliwa Zanzibar tarehe 18 mwezi wa 9 mwaka 1994. Dogo huyo anaweza cheza kama beki wa kushoto au winga wa kushoto, na ameshacheza mechi 27 akiwa na Chelsea ndogo, na hivi karibuni ameshiriki katika ligi ya vijana ya shirikisho la soka la Uingereza (FA).

Picha zaidi bofya hapa.Michuzi blog

0 comments: