MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday, 20 December 2011

RIPOTI KUTOKA ZAMBIA.........

15:07 By Mindset

Baadhi ya watanzania waliokuwa wakisubiri basi la kutoka Lusaka - DAR.
Bakhresa kafika hadi Zambia. Hapa ni stendi ya mabasi Lusaka.
Daladala za Zambia.
Bei za Mafuta Kwa uchache Huko Zambia
Ndio Kama hivi ukiwa Lusaka waweza pata basi la kwenda Botswana.
Bei za Misosi, Lusaka stendi kuu ya mabasi.


0 comments: