MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 15 December 2011

VIATU VINAVYOMSAIDIA MCHEZAJI KUPIGA 'CHENGA'

12:31 By Mindset


Kampuni ya NIKE imemtengenezea viatu Christiano Ronaldo wa Real Madrid, viatu ambavyo ni maalum kwa ajili ya kuwadanganya mabeki. 

Viatu hivyo kwa mujibu wa Yahoo Sports, vinaweza kumuonyesha beki kuwa Christiano  Ronaldo anabadili muelekeo fulani wa mguu kumbe hola! yeye akawa anabadili muelekeo mwingine hivyo kumsaidia katika mambo ya chenga.
Haya ni mambo ya ubunifu toka Nike

0 comments: