Hii inatufundisha nini ? Pengine ni kuwa kila nchi ina shida na raha zake, na kwamba sio kuwa eti nje ya bongo basi maisha ni rahisi tuu, kama wengi wanavyodhani kuwa huko watu ''wanakula bata''.
Picha zote toka New york times, Kwa picha zaidi Bofya Hapa
3 comments:
ebwaneeeeeeee kama manzese bakheresa vile hahahahaa nimeipenda hiyo
Hii kali! Ni kweli lazima tujue kwamba huko nako siyo wote wanakula bata!!
Du nimeiona hiyo uncle, asante kutupa habari hizi
Post a Comment