Kwa mujibu wa psfk.com , wanasayansi wa Chuo kikuu cha Shanghai Jiao Tong cha huko China wamegundua aina ya kipekee ya pamba ambayo inaweza kujisafisha yenyewe endapo itaanikwa kwenye jua la kawaida.
Tena utafiti wa wanasayansi hao ukagundua uwezakano hata wa jua kuondoa doa baada ya kuiacha nguo kwa muda wa masaa mawili juani.
Hii ni habari njema kwa wale wasiopenda kufua!!!
Tena utafiti wa wanasayansi hao ukagundua uwezakano hata wa jua kuondoa doa baada ya kuiacha nguo kwa muda wa masaa mawili juani.
Hii ni habari njema kwa wale wasiopenda kufua!!!
2 comments:
haaaa hyo kali this is 2012 daaaah
Hii ni habari njema kwa waishio sehemu zenye uhaba wa maji!!
Post a Comment