MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 13 October 2011

MACHINGA WA MBOGA MBOGA HATA MAREKANI WAPO !!

10:33 By Mindset



Hii inatufundisha nini ? Pengine ni kuwa kila nchi ina shida na raha zake, na kwamba sio kuwa eti nje ya bongo basi maisha ni rahisi tuu, kama wengi wanavyodhani kuwa huko watu ''wanakula bata''.

Picha zote toka New york times, Kwa picha zaidi Bofya Hapa

3 comments:

Furaha said...

ebwaneeeeeeee kama manzese bakheresa vile hahahahaa nimeipenda hiyo

Maria said...

Hii kali! Ni kweli lazima tujue kwamba huko nako siyo wote wanakula bata!!

Norbert said...

Du nimeiona hiyo uncle, asante kutupa habari hizi