MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday, 28 October 2011

HII NDIYO FOX RIVER HALISI YA KWENYE PRISON BREAK

10:25 By Mindset



Hili ndilo gereza la Joliet huko Illinois USA, ambalo lilitumika katika Filamu Maarufu ya PRISON BREAK
Gereza la Joliet lilifungwa mwaka 2002, na Mwaka 2005 PRISON BREAK ikachezwa humo
Na hawa ni baadhi ya washiriki wa Prison Break
Hivi ndivyo Gereza la Joliet lilivyoonekana katika PRISON BREAK, likitambulika kama
FOX RIVER

0 comments: