MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday, 28 October 2011

ANGALIZO : JINSI YA KUTOA MAONI KATIKA BLOGU HII

10:08 By Mindset

Toa maoni yako kuhusu habari unayoisoma hapa. Ili kutoa maoni, nenda mwisho wa habari husika, kisha bofya Comment, halafu utaona sehemu ya kuacha maoni, kisha bofya Publish your comments. Angalia picha hapa chini kama kielelezo



Kumbuka waweza andika jina lako au ukaamua kutojitambulisha (Anonymous).

0 comments: