MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 12 January 2012

HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI

08:27 By Mindset

Kwa niaba ya wadau wote wa nje ya bongo, twasema Kheri Ya Sikuu Ya Mapinduzi huko Zanzibar. Tunataraji wadau wa maendeleo huko Zanzibar na Tanzania yote kwa ujumla wataitumia siku hii pia kutafakari mapinduzi ya kweli tunayoihitaji katika nchi yetu ili kuboresha maisha. 
Tunaweza kufika mbali zaidi ya hapa tulipo. 
Tujifunze mazuri toka nje ya Tanzania ili nasi tuboreshe maisha yetu , na hili ndio lengo kuu la NJE YA BONGO.COM, kukuletea habari ili kujua wenzetu wapo wapi, walifikaje na wanaelekea wapi huko nje ya Tanzania.
Tupo Pamoja.

0 comments: