MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday 16 January 2012

BUSHMAN AKIWA NA DIAMOND

11:36 By Mindset


Inapendeza sana pale Wanamuziki wa Kitanzania wanapoonyesha upendo kwa kushirikishana mawili matatu hasa wale waliopo Tanzania na wale wanaoishi na kupiga muziki nje ya bongo.

Pichani ni Alex Kajumulo ( The Bushman) anayeishi na kupiga muziki huko Seattle, Marekani akiwa na Diamond wa jijini Dar es salaam. Hapa walikutana Dodoma, Tanzania.

Kufahamu mengi kuhusu shughuli za The Bushman;
Tembelea           www.soccermonster.org
                    www.babukaju.com
Picha kwa hisani ya Alex Kajumulo.

0 comments: