MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday, 12 December 2011

SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA ZILIVYOFANA HUKO MSUMBIJI

03:27 By Mindset

Baadhi ya watoto wa kiTanzania nchini Msumbiji wakiimba nyimbo ya Tanzania Tanzania.....
Vijana wa kiTanzania wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini Msumbiji wakiimba wimbo wa Tazama Ramani.



1 comments:

florence ngenzi said...

Hakika sherehe ilifana sana.Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Afrika.