MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday 8 November 2011

TUENDELEE KUUPIGIA KURA MLIMA KILIMANJARO

18:10 By Mindset


Mwisho wa kupiga kura ni Novemba 11, 2011, hivyo hima hima pigia kura mlima Kilimanjaro ili uendelee kufanya vizuri kama unavyoona katika picha hapo juu. Picha hiyo ilichukuwa jumanne, saa 11:10 kwa saa za Afrika Mashariki.

Kupiga kura kwa website BOFYA HAPA

0 comments: