MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Wednesday 9 November 2011

'DAWA' YA HARUFU MBAYA YA KWAPA NA MIGUU HII HAPA !!

11:32 By Mindset

Harufu mwilini - hususani harufu mbaya husababishwa na bakteria wanaojitengeneza katika mwili.
Deodarant ya Crystal, inafanya kazi ya kuzuia bakteria hao wasiweze kukaa mwilini hivyo kuuacha mwili wako ukiwa poa bila harufu yoyote.
Kama unataka manukato Crystal haikusaidii, ila kama wataka kuondoa harufu mbaya, basi Crystal ndio mahala pake, hata kwa wale ambao wana miguu inayonuka, basi hii ndio kiboko yake.
Cha zaidi, Crystal inadumu kwa muda mrefu sana, wengi wanaotumia wamedai kichupa kimoja kama hicho hapo pichani waweza tumia hata kwa MWAKA MZIMA !!
Icheki madukani na kwa supermarket, kama haipo  waweza agiza kwa AMAZON.COM
 Crystal Deodarant ina asili ya mawe toka Ufaransa, ila inatengenezwa Marekani.

1 comments:

Furaha said...

uwiiiiiiiiiiii mmmmh hiyo Crystal si mchezo..... madawa mengine haya mmmmmh