MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday 16 September 2011

VIMINI SHULENI SIO INSHU SA

15:45 By Mindset


Mbali na uhuru wa mavazi kama unavyoweza kuona hapo juu pichani mmoja wa wanafunzi wa kike hapa Sauzi, akiwa amepiga 'kimini' anaingia nacho shule na anatembea mtaani bila matatizo, wanafunzi wa sekondari wanapata ubwete katika alama za masomo kama ifuatavyo:


A: 80 - 100%               B : 70 - 79%                C: 60 - 69%

D : 50 - 59%                E : 40 - 49%                F : 35 - 39%

FF: 30 - 34%               G : 20 - 29%                H : 10 - 19%

I: 0 - 9%

Kwa hiyo hapa ukipata MSWAKI  yaani F, kama tuitavyo bongo, sio kwamba umefeli saaana.

Lingine ni kuwa masomo yao karibu yote yanafanywa kwa pepa mbili, yaani kama ni Maths, basi pepa 1 na pepa 2. 

Pia kwenye pepa la maswali mwanafunzi anapewa formula muhimu kama vile kwa somo la Maths, formula za kutafuta sum of nterms of Geometric Progression na Arithmetic Progression .

N:B Vimini  shuleni ruksa.

John, Sauzi.

0 comments: