MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday 12 September 2011

UZALENDO WA WADAU NCHINI MSUMBIJI

10:51 By Mindset




Pichani wadau wetu wakiishangilia timu ya Taifa ya wanawake - Twiga Stars ilipocheza na timu ya taifa ya Zimbabwe katika mashindano ya ALL AFRICA GAMES huko Msumbiji, ambapo hadi mwisho wa mchezo matokeo ni sare ya 2-2.

Hapa ni katika uwanja wa Machava nchini Msumbiji.

Wadau hawa ni miongoni mwa wanafunzi 29 wa kitanzania waliopo nchini msumbiji kula shule chini ya ushirikiano wa Tanzania na Msumbiji katika programu inayoitwa Tanzania Mozambique Student Exchange Programme (TAMOSE).

By,
Florence Ngenzi,
Maputo Msumbiji.

0 comments: