MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Saturday 10 September 2011

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA AJALI MBAYA YA MELI ZANZIBAR

19:47 By Mindset

 AJALI MBAYA YA MELI VISIWANI ZANZIBAR


Kwa niaba ya wadau wote wa nje ya bongo.com, tunawapa pole na faraja wafiwa wote wa wahanga wa ajali ya Meli ya LCT Spice Islanders iliyozama huko visiwani Zanzibar usiku wa kuamkia leo jumamosi septemba 9.

Pia tunawatakia faraja wale waliopata kuokolewa ambapo idadi inafika 620 hata hivyo bado uokoaji unaendelea.

Serikali ya Zanzibar imetangaza siku tatu za maombolezo na inaandaa mkutano kwa ajili ya harambee.

Kwa habari zaidi na break news kuhusu ajali hii mbaya ya meli, tafadhali tembelea blogu ya jamii :
http://issamichuzi.blogspot.com/ 

Uongozi -  Nje Ya Bongo.com

0 comments: