MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 8 September 2011

MDAU WA NJE YA BONGO ANAPOKUMBUKA NYUMBANI

14:44 By Mindset




Mdau wetu Alex Kajumulo, aishie Seattle, USA,

Pichani akiwa anajiandaa kurudi Dar akitokea Zanzibar alipoenda kikazi kufanya mazungumzo na timu ya taifa ya Zanzibar ili kampuni yake ya Kajumulo iweze kuandaa jezi za timu hiyo ya taifa.

0 comments: