MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 8 September 2011

WENZENU SAUZI 'HATUKUWA' NA EID

14:00 By Mindset






Wakati hapo bongo mlisherehekea sikukuu ya Eid kwa kuwa na off ya kutokuenda makazini, hapa Sauzi watu walikuwa 'mzigoni' kama kawaida kwakuwa sikukuu ya Eid, na sikukuu nyingine za kiislamu kama vile Maulidi na Eid Elhaj hazijajumuishwa kwenye sikukuu za kitaifa.

0 comments: