MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday 9 September 2011

LIBENEKE LENU HILI !!!!!

10:55 By Mindset

Karibuni wadau wote, hii ni blogu kwa wabongo wote maalum kwa kupashana habari ya mambo yaliyo nje ya nchi yetu nzuri ya Tanzania.

Lengo ni kuwapa fursa wabongo walio nje ya Tanzania ku share ufahamu (experience) na taswira ya mambo, jamii na mazingira ya walipo huko nje ya Tanzania, iwe ni Afrika au nje ya Afrika.

Libeneke hili linawapa nafasi pia wabongo waliopo Tanzania kutambua na kujifunza yale yaliyo nje ya bongo.

Mdau, tuma picha, maelezo na hata kama una salamu au unamtafuta mtu kwa email ifuatayo nasi tutaiweka hewani katika libeneke hili.

john.myungire@gmail.com

Karibuni Nyote.

JOHN.

0 comments: