Kampuni ya google imetengeneza program ya kompyuta ambayo kama inatumika katika simu basi inawezesha simu kufanya shughuli zote za malipo kama ambavyo kadi yako ya benki ingeweza kufanya.
Huduma hii ambayo imedhamiria kuondoa matumizi ya wallet, matumizi ya kadi za benki ni jitihada za google kuboresha maisha katika zama hizi za teknolojia ya mawasiliano.
Hata hivyo huduma hiyo kwa sasa inapatikana nje ya bongo, nchini Marekani katika baadhi ya maeneo na kwa baadhi ya benki na mashirika mengine ya kifedha. Ila google inadai lengo ni kufikia watu wengi zaidi na maeneo mengi zaidi.
Habari na chanzo hiki:google.com
Wadau Mnasemaje ? Hii ni kama Mpesa, Tigo Pesa ?
0 comments:
Post a Comment