MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 1 December 2011

HUDUMA KWA MTEJA ILIYOTUKUKA

14:52 By Mindset


Katika mazungumzo hayo hapo, juu mteja alipiga simu huduma kwa mteja (customer care) kwa benki ya First National Bank (FNB) ya nchini Afrika Kusini.

Swala ya kutatua tatizo la kibenki , mwakilishi wa benki akawa na kazi ya kunyamazisha mtoto wa mteja na hata mbwa kama alivyoombwa na mteja.

Benki hiyo ina kauli mbiu - HOW CAN WE HELP YOU ? -( TUKUSAIDIAJE ?)

Naona mteja alitumia fursa ipasavyo. Sikiliza mwenyewe nisikumalizie uhondo.

0 comments: