MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 17 November 2011

VIMEO - LIBENEKE LINGINE LA KUSHARE VIDEO

10:32 By Mindset


Hapa hatuna maneno mengi, ni kukujuza tuu , kama umezoa YOUTUBE, basi ujue pia kuna libeneke lingine la kushare video kama vile unavyofanya kwa Youtube.

Ila twahisi hii bado haijapata umaarufu sana bongo, kwani kwa haraka haraka ukijaribu kusearch video za kibongo, ni chache sana unazikuta humo, mfano hiyo ya Bahati Bukuku.

Kucheki kwa ukaribu libeneke hili la VIMEO, BOFYA HAPA

N:B jina la vimeo si la kiswahili hivyo halina maana yoyote ile ya kama inavyojulikana bongo neno KIMEO.

0 comments: