MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday 21 November 2011

MELI KUBWA KULIKO ZOTE

15:09 By Mindset




Urefu wake ni zaidi ya viwanja vinne vya mpira wa miguu (Mita 458.46), inasemekana ndiyo mashine kubwa zaidi iliyowahi kutengeneza duniani ikiweka rekodi ya Kuhitaji Km.8.9 ili iweze kusimama toka breki zilipoguswa kama ikiwa katika spidi ya Km30.6 kwa saa.

Meli hiyo kubwa iliachwa kutumika mwaka jana (2010), mmiliki wake akiwa ni Amber Development. Meli hii ilitengenezwa Mwaka 1979.
Maelezo zaidi BOFYA HAPA

0 comments: