MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday 15 November 2011

MAMBO BADO SI SHWARI KABISA - LIBYA

14:16 By Mindset




Mapambano bado yanaendelea nchini Libya, kati ya wapiganaji wa hayati Moammar Gadafi, na askari wa serikali ya muda ya Libya.
Ripoti zinasema , mjini Surf, milio ya risasi na mashambulizi yameendelea kusikika.
Habari na :latimes.com

0 comments: