MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Saturday 15 October 2011

NGOMA ZA KIJADI - MAREKANI

12:03 By Mindset

Kijana akiwa katika Mavazi ya kijadi, Seattle, Marekani

Hata hapa marekani, wazawa wana ngoma zao pia. Cheki hizo picha zinaonyesha wahindi wazawa wa Amerika ya Kaskazini wakisakata ngoma ya jadi iitwayo POWPOW.

Kucheki mdundo wenyewe wa ngoma ya POWPOW, Bofya hapa


0 comments: