MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Wednesday, 30 November 2011

MIAKA 50 YA UHURU - TUPO PAMOJA KWA SANA

10:09 By Mindset


Kwa pamoja tunasherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kuendeleza dhamira kuu ya kupata uhuru yaani kuleta maendeleo kwa wananchi.

Hivyo basi katika blogu hii tumedhamiria kukuhabarisha kwa habari za uhakika, zilizochambuliwa zenye kukuleta karibu na ulimwengu wa kimataifa kwa kukufahamisha tamaduni za nchi nyingine, nafasi za elimu, gharama za maisha nchi nyingine, nafasi za kazi, taratibu mbalimbali za kufanya kazi, biashara au kuishi nchi husika.

Pia tutakufahamisha habari motomoto zinazohusu burudani, maisha ya watu bila kusahau vituko vya kweli vinavyotokea au vilivyotokea nje ya Tanzania.

 Tumedhubutu, Tumefanikiwa na Tunaendelea Mbele
MUNGU IBARIKI TANZANIA

0 comments: