MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday, 13 September 2011

SHUKRANI KWA WADAU WOTE

17:32 By Mindset


Tunawashukuru wadau wote kwa kutuunga mkono,
Ndani ya muda mfupi (Hata Wiki Haijaisha) blogu yetu inaonyesha statistics kama unavyoweza jionea pichani, imeshatembelewa mara zaidi ya mia mbili.

Tunaendelea kuboresha wazo,na tunakaribisha habari kutoka kwa yeyote yule popote pale, hatubagui.

Lengo ni kuhakikisha tunapashana habari na tunakuwa tayari kuwepo popote pale na kushirikiana na yeyote yule kwani dunia ni kijiji.

Shukrani kwa wadau wote. Ikumbukwe katika blogu hii tunatumia lugha mbili kuu, English na Kiswahili.

Karibuni.

0 comments: