MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 8 September 2011

POLISI KAZI WANAYO HAPA SAUZI

11:40 By Mindset

Hapa Sauzi, amri imetolewa kwa polisi  wote kuvaa vizuia risasi - Bullet Proof Vest. (Mfano pichani hapa chini)







Hii ni kwa kuwa idadi ya polisi wanaoendelea kuuawa wakiwa kazini ni kubwa na hii inatisha !! Natumaini bongo hatujafikia hapa !!!

0 comments: