MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Wednesday 7 September 2011

HII NAYO TOKA SAUZI

17:59 By Mindset

Yap,
Hapa Sauzi utoaji mimba umehalalishwa na si ajabu kukuta matangazo kama haya mtaani yakitangaza huduma ya kutoa mimba tena kwa bei poa, na bila Maumivu !

Hata Mashoga hapa ni poa, wamehalalishwa na wanajivinjali na mambo yao mitaani kama binadamu wengine.

0 comments: