MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday 19 September 2011

MSISITIZO - MUHIMU SOMA HAPA !!

11:11 By Mindset

Blogu hii ni kwa ajili ya kupashana habari za maisha, maendeleo, utofauti wa bongo na nje ya bongo,na taarifa za mambo mbalimbali ya msingi kwa maendeleo yetu kama vile elimu, michezo, tamaduni za wenzetu nje ya bongo.


Yeyote yule aliyepo nje ya bongo, au aliyewahi kuwa nje ya bongo anaalikwa kushare taarifa kwani lengo ni moja kujuzana mambo haya ya msingi ili tuweze kuwa tayari kukabiliana na ulimwengu wa utandawazi.


Hivyo shime shime , hata wabongo waliopo Tanzania mnaweza kushare nasi taarifa hizo, nasi tukaziedit na kuzirusha hewani.


Pia tunakaribisha maswali, maoni na ushauri wa mambo au taarifa mnazotaka ziwemo hapa kwa blogu yetu.


Kumbuka katika blogu hii tunatumia lugha mbili kuu Kiswahili na English.


Ahsanteni.
NJE YA BONGO.COM

0 comments: