MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday 26 September 2011

HII KALI TOKA CAMEROON

11:42 By Mindset


Kuna jamii hapa Cameroon wana tamaduni ya kulaza maiti nyumbani baada ya shughuli ya kuaga maiti walau kwa usiku mmoja.

Wanadai hiyo ni njia ya kuonyesha ‘love and respect’.

Duh ! tamaduni bwana...!

Mdau, Cameroon

1 comments:

Furaha said...

mmmh hao kweli wanaproblem waache kumjali akiwa hai waanza kujali mwili usio na roho? kazi kweli kweli