Baadhi ya Supermarket huko Marekani zimeweka huduma ya vigali vidogo kama unavyoona pichani hapo juu ambapo mteja anaweza kuendesha akizunguka huku na kule humo ndani ya supermarket ili kujionea kile anachohitaji kununua.
Je, vigali hivi vingekuwa vinatumika Bongo sehemu kama Mlimani City, hali ingekuwaje ? Toa Maoni Yako.
Picha kwa hisani ya http://www.extremefunnypictures.com
0 comments:
Post a Comment