Kuanzia mwezi huu wa November, 2011 simu hizi aina ya NOKIA zitaanza kuwa madukani.
Simu hizi zinatumia operating system ya Windows 7 toka Microsoft, na watafiti wa kimasoko wanadai zitaongoza katika soko la simu la dunia kwa mwaka 2012.
Katika simu hizi watumiaji watapata fursa ya kusikiliza miziki kibao pamoja na burudani za soka, kwani simu hiyo ipo kisoka zaidi kupitia kupitia mtandao wa habari za michezo wa ESPN.
Pia usisahau ubora wa 'hardware' za NOKIA umeimarishwa.
1 comments:
yap might be NOKIA gonna kill the market,but as usual Samsung has already killed it,there are amazing GSM phones from them in the market right now!!ie SGS II
Post a Comment