MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Monday, 24 October 2011

MREMBO TOKA ETHIOPIA

10:38 By Mindset


Hii inaonyesha jitihada moja wapo ya mdada toka Ethiopia kujiweka mrembo. Ni jambo la kawaida kwa watu wa makabila ya Suri na Mursi huko Ethiopia kuwekewa kisahani mdomoni kama sehemu ya urembo.

Jionee vizuri pichani. Soma zaidi BOFYA HAPA

0 comments: