Hii ni kukumbusha tuu kuwa unaweza kushare na ndugu, jamaa na marafiki habari zote unazoziona hapa kwa blogu.
Mwisho wa habari husika unayotaka kushare waweza fanya yafuatayo:-
Tuma link kwa email kwa kubofya M (kama unavyoona pichani) kisha fuata maelekezo mafupi tuu.
Itumie habari hiyo katika blogu yako kwa kubofya B ( kama unavyoona alama pichani)
Itumie link kwa Twitter kwa kubofya t ( kama unavyoona alama pichani)
Iweke link kwa facebook wall yako kwa kubofya f ( angalia alama pichani)
Au iweke link kwa social network mpya ya google plus (angalia alama pichani)
Yote hii ni kuhakikisha kuwa watu wengi zaidi wanawezeshwa kupata habari hizi muhimu za maisha mengine nje ya Tanzania.
SHUKRANI KWA USHIRIKIANO WAKO !
0 comments:
Post a Comment