MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday, 25 October 2011

'COCO BEACH ' YA KISAUZI

10:39 By Mindset

Wananchi kwa mbali wakionekana kujivinjari baharini - Bahari ya Antlantic
Tangazo la kuonya kuhusu kuchukua tahadhari kabla ya kuingia baharini kuogelea
Watoto 'toka uswahili' wakiinjoi majini
Mdau nilipokuwa nikivinjari kutazama mazingira ya 'coco beach' ya hapa Sauzi.

0 comments: