MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Tuesday, 25 October 2011

THAIPUSAM, SHEREHE YA KIHINDU

10:39 By Mindset

 Pichani ni muumini wa Kihindu toka Malaysia akionyesha imani yake kwa kujichoma mwilini. Hii ni moja ya sherehe za Kihindu zinazojulikana kwa jina la Thaipusan.
Thaipusan ni sherehe maalum kwa Mungu Murugan ambaye ni mtoto wa Shiva na Parvati.
Sherehe hii inasherehekea hususani katika nchi za India, Singapore, Malaysia, Afrika Kusini na Sri Lanka. Nchi kadhaa pia duniani zinasherehea sikukuu hii ya Mungu Mtoto wa Shiva na Parvati.

Haya ni mambo ya imani jamani !!!  I

0 comments: