MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday, 27 October 2011

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI TOKA SERBIA

12:07 By Mindset




Huyu ni Nick Vujicic, kutoka Serbia. Pamoja na kutoka na mikono wala miguu, anaendesha biashara zake na kujitegemea. 
Ni msomi toka chuo kikuu cha Griffith ambako akiwa na miaka 21 aligraduu digrii ya Accounting na Financial Planning kwa wakati mmoja.


Ni mjasiriamali ambaye masomo yake kuhusu biashara na maisha ni muhimu kwa yeyote yule. Sikiliza hapa chini mojawapo ya mafundisho yake akisema - WHAT MATTERS IS TO FINISH STRONG.



0 comments: