Nimepokea email nyingi na meseji nyingi kwa njia ya facebook zikielezea mambo kadhaa wa kadhaa kuhusu project yetu ya NJE YA BONGO.COM
Kwakuwa sitaki kuwachosha, kwa kuweka meseji zote, niwape baadhi tuu 13 kati ya nyingi nilizopokea.
Naahidi kufanyia kazi mapendekezo yenu yote, na kujibu maswali yenu. Tutaweka hewani aina ya taarifa zinazohitajika kwa nchi nyingine ili wadau wetu wa nchi nyingine watusaidie.
BAADHI YA MESEJI NA MAJINA YA WALIOTUTUMIA
OK NIMEONE BLG YAKO SAFI......Alex Kajumulo
Much improvement! i thnk social affair, love na za kiuchumi is gud- Ben Mrema, Dar
KAKA NISIWE MNAFIKI KAMA KWA HILO UPO VZR NA TENA TUTASHIRIKIANA NAWE KATIKA HILI NA MUNGU AKUPE NGUVU MUDA WA KUTOSHA KUTUPA HABARI UBARIKIWE. - Elias Proches, Dar es salaam
kaka imekaa vizuri, ntaregister kwa blog yako. maisha ya abroad kwa watanzania, kazi wazifanyazo, life expectancy as compared to bongo- Emmanuel Wanjara, Nairobi
yap imekaa vema saana kaka -Fred Ngenzi, Dodoma
Safi, ipo fasta sana tu haina problem tupe maisha ya hko, kujua mitaa, wachekeshaji wa hko- Furaha Mtallo , Dar
hongera tunaitakia mafanikio kibao! - John Kalla wa Msumbiji
IMETULIA SANA NDGU KUMBE HATA HUKO KUNA HIZI? - Ludovick Swai , Dodoma
Sana tu kaka, mia kwa mia.. Lugenge Kalistus, Iringa
That's good man -Lusa Extramile
Kwa kweli ni kitu kizuri sana na inafurahisha! - Maria Mushi, Dar es salaam
Poa kaka, imetulia ile mbaya...Mwellece Junior, Dar es salaam
.....tutachinga vizuri kaka
blogs ni poa sana.- Nchimbi Michael, Dodoma
I can see it, iko poa sana tutakuwa tunapata vitu vingi hasa vinavyotekea huko nje ya nchi...ubunifu mzuri sana kaka keep it up - Pius B. Adolf, Dar es salaam
Ya ukweli sana sema ungepata wadau wa nchi zinngine pia watupe experience isiwe sauz tu - Reagan Kigoma
yah that brilliant of you - Rehema Nyangeta, Shinyangayah'iko powa - Richard Fuvagwa.... Mwanza
0 comments:
Post a Comment