MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 6 October 2011

KAZI, SHULE NA MAISHA KWA UJUMLA NJE YA BONGO

12:45 By Mindset


USIACHE KUTEMBELEA BLOGU HII KILA SIKU, TUNAWEKA TAARIFA MPYA

Je, nini unahitaji kujua kuhusu ajira, shule na maisha nje ya bongo ?

Je, ulijifunza nini ulipofika nje ya bongo kwa mara ya kwanza ?

Je, mambo gani mambo gani uliyaona nje ya Tanzania ambayo unapendekeza wabongo tujifunze ?

Je, unahitaji ''mchongo'' -connection yoyote ya biashara,ajira au makazi nje ya Tanzania ?

Majibu ya maswali haya yanapatikana hapa NJE YA BONGO.COM

Kama una ushauri maoni, au taarifa na picha tafadhali wasiliana nasi kwa john.myungire@gmail.com

N:B Picha, taarifa zozote inabidi kwanza zipitie kwa email hiyo ili tuziedit kisha tunaziweka hewani.

0 comments: