![]() |
| Hili ndilo gereza la Joliet huko Illinois USA, ambalo lilitumika katika Filamu Maarufu ya PRISON BREAK |
![]() |
| Gereza la Joliet lilifungwa mwaka 2002, na Mwaka 2005 PRISON BREAK ikachezwa humo |
![]() |
| Na hawa ni baadhi ya washiriki wa Prison Break |
![]() |
| Hivi ndivyo Gereza la Joliet lilivyoonekana katika PRISON BREAK, likitambulika kama FOX RIVER |




0 comments:
Post a Comment