MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 29 September 2011

VIATU VYA KAJUMULO KENYA

09:50 By Mindset


KAJUMULO WORLD SOCCER USA itatengeneza viatu vya kukimbilia  kwa wanariadha kwa kutumia jina la Mwanariadha maarufu (mstaafu) wa Kenya  na vitaanza kuuzwa kwenye masoko kabla ya Olimpiki Mwaka Kesho.
Viatu hivyo vitatumiwa pia na baadhi ya wakimbiaji wa Kenya watakaoshiriki mashindano ya Olimpiki mwaka kesho huko Uingereza.

Viatu hivi vitakuwa sokoni pia kwa wanamichezo wengine na mtapata taarifa mara vitakapoingia sokoni.

Pichani, nikiwa Kenya  kumalizia ziara ya kukamilisha dili hilo la Kenya.

THENKXX ONE LOVE IS LAW 
ALEX KAJUMULO

0 comments: