MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Friday 16 September 2011

TEMBEA UYAONE

16:56 By Mindset

              Hili ni tangazo la duka maarumu kwa mambo ya 'wakubwa' mfano picha za X. n.k
              Hii ni biashara halali hapa Sauzi. Lakini kuuza picha za X hadharani si halali.
                    Hapa ni mojawapo ya maeneo ya nje ya mji, cheki hata lami hamna barabarani
                        Hapa ni Cape Town,mjini unapata taswira nyingine kabisa, pameendelea.

Picha zote kwa hisani ya
John, Sauzi.

0 comments: