MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Wednesday 14 September 2011

TANZANIA YAONYESHA UBABE HUKO MSUMBIJI

13:41 By Mindset



Timu ya taifa ya netiboli ya Tanzania, wiki iliyopita ilionyesha ubabe mbele ya timu ya taifa ya Msumbiji kwa kuichapa mabao 95 kwa 8 ! katika uwanja wa IMAP mjini Maputo.

Pichani ni wachezaji wa timu ya taifa ya TZ wakiwa uwanjani, na picha ya chini ni Mdau wetu Mohamed Mzee akiwa na mmoja wa dada zetu walionyesha ubabe siku hiyo ya mechi.

Yes, watanzania popote tulipo tuendelee kupeana sapoti !

Picha na habari toka kwa :
Florence Ngenzi, Maputo Msumbiji.

0 comments: