MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Thursday 15 September 2011

BONGO FLEVA TUNAIPATA HATA NJE YA BONGO

15:24 By Mindset



Ingawa si rahisi kupata duka ambalo linauza CD za wasanii wetu wa kibongo hapa Sauzi, teknolojia inatusaidia kuendelea kupata burudani ya kizazi kipya plus mawasiliano na watu waliopo nyumbani TZ, mara kwa mara hutupa nafasi ya kutumiwa hata CD.

Twaweza pata taarifa na video za muziki wa nyumbani kupitia websites kadhaa za kibongo na hata youtube mfano bofya hapa

Pichani mdau (John) aliyepo Sauzi anaonekana akiburudika kwa vibao vya Diamond ( Nitarejea) na Mr. Blue ( Tabasamu).

Bongo fleva ipo juu !!

0 comments: