MAMBO KAMA YALIVYO NJE YA TANZANIA

Saturday, 22 October 2011

REAL MADRID FC WALA OFA KALI YA MAGARI YA AUDI

06:13 By Mindset

Angel di Maria akiwa amepozi na gari lake 
Benzema akiwa amepozi na gari yake
Ushirikiano uliopo kati ya kampuni ya kutengeneza na kuuza magari ya AUDI na timu ya soka ya  Real Madrid, umewezesha wachezaji wake na viongozi kupata magari ya kisasa kabisa toka kampuni ya AUDI.

Wachezaji hao na viongozi wao wakiwemo makocha na benchi zima la ufundi akiwemo Zinedine Zidane walikabidhiwa magari hayo siku ya Alhamis Oktoba 20,2011.

Hii ni kwa mujibu wa REAL MADRID WEBSITE

0 comments: